Kuhusu
🏢 KIMANGA REAL ESTATE COMPANY LIMITED ni kampuni ya udalali na huduma za mali isiyohamishika inayosaidia wateja kupata, kuuza, kununua na kupanga nyumba, viwanja, ardhi na mali za kibiashara.
🤝 Tunawahudumia watu binafsi, wawekezaji na developers, kwa kutoa huduma za kitaalamu, taarifa sahihi za mali na usaidizi katika mchakato wa ununuzi, uuzaji na upangishaji.
📍 Tunazingatia zaidi fursa za mali isiyohamishika ndani ya Dar es Salaam na maeneo mengine ya Tanzania.